• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matokeo ya mechi za kirafiki za kimataifa, na mechi za kufuzu EUFA kwa timu za wanawake

    (GMT+08:00) 2018-11-14 10:19:59
    Jana kulichezwa michezo miwili ya kirafiki ya kimataifa ya wanawake inayotambuliwa na shirikisho la soka duniani (FIFA). Timu ya Ujerumani ilikutana na Uhispania, hadi dakika 90 za mchezo huo hakuna timu iliyogusa nyavu ya goli la mwenzake, mchezo mwingine ulikuwa kati ya Skotishi iliyokubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Marekani.

    Kwa upande wa michuano ya UEFA kwa wanawake, Uswizi imelazimishwa sare ya 1-1 na Uholanzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako