• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shirika la ndege la Kenya Airways laanza safari za kila siku Somalia

    (GMT+08:00) 2018-11-14 18:43:36
    Shirika la ndege la Kenya Airways,KQ,limeanzisha safari za kila siku za moja kwa moja kati ya Nairobi na Mogadishu.

    KQ imesema kuwa kutakuwa na ziara moja kila siku kwenda na kutoka Somalia.

    Katika taarifa kwa vyombo vya habari,Mkurugenzi Mkuu wa KQ Sebastian Mikosz alisema ziara hizo zitaanza alhamisi.

    Kulingana naye,safari hizo zilianzishwa kutokana na kuongezeka kwa mahitaji katika njia hiyo.

    Aliongeza kuwa kuanzishwa kwa safari hiyo kunatarajiwa kukuza biashara katia ya mataifa hayo mawili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako