• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Mzee Wenger aitolea nje Fulham

    (GMT+08:00) 2018-11-15 08:36:50
    Aliyekuwa kocha wa Arsenal, Arsene Wenger ameripotiwa kukataa kazi ya ukufunzi wa klabu ya Fulham ambayo ilipandishwa ngazi msimu huu wa 2018/19 na wameishia kumkabidhi kocha wa zamani wa Leicester Claudio Ranieri kazi hiyo.

    Kulingana na gazeti la michezo la Mirror, Klabu ya Fulham ilihitaji huduma za Wenger walipokuwa wakimtafuta kocha ila akakataa na ikabidi wameze machungu na kumkumbatia Ranieri.baada ya kumfuta kocha wao wa zamani Slavisa Jokanovic.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako