• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • RUGBY: Nakuru kama mwewe kuanza na Strathmore

  (GMT+08:00) 2018-11-15 08:37:47

  Michuano ya ligi ya mchezo wa Rugby itaendelea wikiendi hii, mabingwa wa mara mbili wa michuano hiyo timu ya Nakuru wanataka kutetea ubingwa kwa mara ya tatu msimu huu wa 2018/19 watakapokabiliana na Strathmore wikiendi hii.

  Kocha wa Nakuru Mitch Ocholla amesema, ligi hiyo ni ngumu na kwao kila mechi ni kama fainali kwao, hawadharau mchezo wala timu yoyote, zaidi ya kujipanga kucheza vizuri bila kupoteza nafasi na kuibuka na ushindi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako