• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping awasili Papua New Guinea kwa ziara rasmi

    (GMT+08:00) 2018-11-15 20:20:57

    Rais Xi Jinping wa China amewasili nchini Papua New Guinea kwa ziara rasmi na kuhudhuria mkutano wa viongozi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa uchumi wa Asia na Pasifiki (APEC).

    Hii ni ziara ya kwanza kufanywa na rais wa China katika nchi hiyo tangu nchi hizo mbili zianzishe uhusiano wa kibalozi mwaka 1976.

    Akiwa nchini Papua New Guinea, rais Xi pia atakutana na viongozi wa nchi nane za visiwa zenye uhusiano wa kidiplomasia na China.

    Papua New Guinea ni kituo cha kwanza cha ziara inayoendelea ya rais Xi katika kanda ya Aisa na Pasific, pia rais Xi atafanya ziara nchini Brunei na Philippines.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako