• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Benki ya DCB yapunguza bei ya hisa zake

    (GMT+08:00) 2018-11-15 20:40:44

    Katika harakati za kuwafikia wananchi wengi Benki ya DCB, imedhamiria kuongeza idadi ya wateja hadi 300,000 ifikapo mwaka 2022 baada ya kuongeza mtaji. Mkakati huo ulibainishwa na mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo iliyoanzishwa miaka 17 iliyopita, Godfrey Ndalahwa alipotangaza uuzaji hisa stahiki zaidi ya milioni 33.9 zitakazoingiza Sh8.9 bilioni ili mtaji kufikia Sh25.86 bilioni.

    Katika mpango wa kuongeza mtaji, benki hiyo imepunguza bei ya hisa zake kwa asilimia 22 kutoka Sh340 mpaka Sh265.

    Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea alisema halmashauri ya jiji imekubali kuongeza fedha lakini mpaka majibu ya maswali kadhaa yajibiwe.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako