• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uchunguzi wa Saudi Arabia waonyesha Khashoggi aliuawa kwa kutumia dawa kupita kiasi

    (GMT+08:00) 2018-11-16 09:18:57

    Matokeo ya uchunguzi yaliyotangazwa na Mwendesha mashtaka wa Saudi Arabia yameonyesha kuwa mwanahabari wa nchi hiyo Jamal Khashoggi aliuawa kwa kupigwa sindano ya dawa kupita kiasi na majasusi wa Saudi Arabia. Uchunguzi huo unawahusu watuhumiwa 21 wakiwemo watu watano ambao imependekezwa wahukumiwe kifo kutokana na kuhusika moja kwa moja na mauaji hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako