• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Trump akosoa timu ya Mueller ya "kuwatishia" watu katika uchunguzi kuhusu Russia kuingilia kati uchaguzi wa mwaka 2016

    (GMT+08:00) 2018-11-16 09:19:26

    Rais Donald Trump wa Marekani kupitia ukusara wake wa Twitter ameikosoa timu ya mchunguzi maalumu Bw. Robert Mueller kwa "kuwatishia" watu ili watoe ushirikiano kwenye uchunguzi dhidi ya tuhuma za Russia kuingilia kati uchaguzi mkuu wa Marekani uliofanyika mwaka 2016. Amesema "shughuli za uchunguzi za Mueller ni za ovyo, hawajapata maafikiano yoyote ya siri na wamekuwa wendawazimu".

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako