• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NETIBOLI: Zanzibar wazidi kuboronga mashindano ya Afrika Mashariki

    (GMT+08:00) 2018-11-16 09:20:55
    Timu za mpira wa mikono (Netiboli) za Zanzibar zinazidi kuboronga katika mashindano ya mpira wa mikono Afrika Mashariki kwa kupigwa michezo mbali mbali nyakati tofauti katika kiwanja cha nyuki migombani Jeshini.

    Mtanange wa kwanza ulipigwa kati ya Nairobi Queens na Matarumbeta, hadi mwisho wa mchezo Nairobi Queens iliibuka na ushindi wa 26-15, mchezo mwingine ulikuwa baina ya SMZ Bammata iliyovaana na Vijana, Vijana waliibuka na ushindi wa 11-9, huku Polisi ya DRC ikipata ushindi mnono wa 50-12 dhidi ya Black Mamba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako