• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Wakulima wa viazi wapigwa jeki.

    (GMT+08:00) 2018-11-16 20:13:54

    Kampuni tano zimeungana kwa nia ya kuwasaidia wakulima wa viazi kukuza kilimo chao, kama mbinu ya kuhakikisha kuwa kuna chakula cha kutosha nchini.

    Kupitia mradi wa Better Life Project, kampuni za Bayer East Africa, TingA, Yara, Siraji SACCO na Farmer Centre Limited zinapanga kuwapa wakulima mbegu bora, kuhimiza utumiaji wa mashine katika kilimo na kutumia mbolea za bei nafuu ili kuhakikisha kuwa viazi havivamiwi na wadudu. Baadhi ya wakulima tayari wamesifia hatua hiyo kuwa imeboresha mavuno katika mashamba yao, baada ya kutumia mbegu zinazofaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako