Baada ya matokeo hayo Stars sasa inalazimika kushinda mechi yake ya mwisho dhidi ya Uganda itakayopigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Mambo yamekwenda vizuri kwa timu ya taifa ya Uganda (Uganda the Cranes) sasa ndiyo ya kwanza kufuzu kutoka kundi L bingwa Barani Afrika AFCON, baada ya kuwashinda Cape Verde bao 1-0 uwanja wa taifa wa Nambole mjini Kampala.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |