• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Matokeo ya Ligi ya Mataifa ya Ulaya: England yaipiga Croatia, Bila Ronaldo, Ureno yatinga nusu fainali

    (GMT+08:00) 2018-11-19 08:33:56
    Mwishoni mwa wikiendi, zimepigwa mechi kadhaa za ligi ya mataifa barani Ulaya, Timu ya taifa ya Uingereza imepata ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Croatia katika kundi la nne mechi iliyochezwa uwanja wa Wembley mjini London, Ureno wao bila mchezaji wao Christiano Ronaldo wametinga nusu fainali kwenye mchezo wa kundi la tatu kwa kutoka sare ya 0-0 dhidi ya Italia.

    Uswizi wameichakaza bila huruma Ubelgiji kwa jumla ya magoli 5-2, Ireland kaskazini imekubali kipigo cha 2-1 toka kwa Austria, huku Ugiriki wakikubali kichapo cha 1-0 toka kwa Estonia, nao Hungary wameipoteza Finland kwa goli 2-0.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako