• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watoto 93 wa Afrika waokolewa Algeria kutoka kwenye mitandao ya magendo ya binadamu

    (GMT+08:00) 2018-11-19 10:53:08

    Mamlaka za Algeria zimesema watoto 93 wa nchi mbalimbali za Afrika, wakiwemo zaidi ya 60 kutoka Niger waliosafirishwa kimagendo kwenda nchini humo na kutumiwa kama ombaomba mjini Algiers, wameokolewa kutoka wafanya magendo ya binadamu. Watoto hao wanaendelea vizuri kimwili na kisaikolojia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako