• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yatarajia kuimarisha ushirikiano wa usalama katika mpaka wake na Pakistan

    (GMT+08:00) 2018-11-19 17:07:21

    Waziri wa mambo ya ndani wa Iran Bw. Abdolreza Rahmani-Fazli amesema, mvutano katika eneo la mpaka wa nchi hiyo na Pakistan umeongezeka, na Iran inatarajia kuimarisha ushirikiano wa usalama wa eneo hilo.

    Shirika la habari la Tasnim limemnukuu waziri Abdolreza akisema, kama Pakistan ikipata tatizo la kupambana na shirika la wanamgambo, Iran inatarajia kuingia Pakistani kufanya operesheni kulikuwa na ruhusa ya nchi hiyo。

    Kwa mujibu wa waziri huyu, wanajeshi watano waliokamatwa na wapiganaji wameachiwa huru, na Iran inaendelea kujitahidi ili kuhakikisha askari wengine waliotekwa pia wanaachiwa huru.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako