• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: vijana na wanawake wanatarajiwa kupata asilimia 30 ya zabuni ya zote za serikali

    (GMT+08:00) 2018-11-19 19:54:03

    Mpango wa utawala wa Jubilee ni kupatia vijana, wanawake na walemavu asilimia 30 ya zabuni zote za serikali.

    Hii ni kulingana na ripoti ya hivi karibuni iliyoandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma.

    Ripoti ya hivi karibuni ya mwaka 2017-2018 iliyotolewa katika Bunge inaonyesha kwamba kiasi kikubwa, asilimia 23.4 ya zabuni zilipewa vijana.

    Mamlaka ya udhibiti ilibainisha kuwa watu wenye ulemavu walipewa mikataba ya chini ikilinganishwa na namba na thamani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako