• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashirika ya ndege ya Kenya yanataka kodi kupitiwa tena ili kupunguza bei ya mafuta

    (GMT+08:00) 2018-11-19 19:58:19

    Mashirika ya ndege makubwa nchini wanalalamika kuhusu bei ya juu ya mafuta ambayo imeletwa na kodi kali kutoka kwa serikali.

    Mashirika ya ndege miongoni mwao Kenya Airways (KQ), Fly540 na SafariLink wanadai kuwa bei ya mafuta ya ndege ingaliwe kwani kuna baadhi ya kodi ambazo hazihusiani na sekta ya ndege.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako