• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Michuano ya kufuzu Olimpiki 2020 -U23: Emerging Stars yapeta.

    (GMT+08:00) 2018-11-20 08:39:26
    Timu ya soka ya wanaume wenye umri wa chini ya miaka 23 ya Kenya Emerging stars imepata ushindi mnono dhidi ya timu ya taifa ya Mauritius kwa magoli 3-1 mjini Port Louis Mauritius.

    Hiyo ilikuwa ni mechi ya marudiano baada ya wiki iliyopita kupigwa mchezo wa kwanza jijini Nairobi na Kenya kushinda kwa goli 5-0. Kwa ushindi huo wa Kenya unafanya kuifunga timu hiyo ya Mauritius jumla ya magoli 8-1.

    Timu tatu za kwanza katika michuano hiyo zitashiriki michuano ya Olimpiki itakayofanyika jiini Tokyo Japani mwaka 2020.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako