• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Zanzibar wamengia kambini kujiandaa na michuano ya Klabu Bingwa Afrika

    (GMT+08:00) 2018-11-20 08:39:46
    Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Zanzibar JKU wamengia kambini kujiandaa na michuano ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Al Ahli ya Sudani mchezo utakaopigwa Novemba 27 ambapo mabingwa hao watakuwa ugenini kwenye mchezo huo wa awali.

    Akizugumza na waandishi wa habari kocha msaidizi wa klabu hiyo Hassan Ramadhan Pele amesema kambi hiyo ni ya muda mfupi na kutaja jumla ya wachezaji 30 wameingia kwenye kambi hiyo ili kutengeneza umoja wa timu hiyo ambayo tayari imeshakuwa wazoefu wa mashindano ya kimataifa .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako