• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: AFCON 2019: Mataifa 17 hayooo Cameroon

    (GMT+08:00) 2018-11-20 08:40:02
    Wakati Kenya ikiendelea kusubiri uamuzi wa shirikisho la soka barani Afrika (CAF) kufahamu kama imefuzu kushiriki Kombe la Afrika kwa wanaume, mataifa 14 yameshajikatia tiketi.

    Mataifa hayo ni Senegal na Madagascar kundi A, Morocco na Cameroon kundi B, Kundi C ni Mali, Kundi D ni Algeria, Nigeria kundi E, Ivory Coast na Guinea zinatoka kundi H, Mauritania kundi I, Tunisia na Misri kutoka kundi J na Uganda kundi H.

    Makundi G na K yako wazi, huku mechi kati ya Burundi na Gabon hapo Machi 22 mwaka 2019 nchini Burundi itakuwa kama fainali kwa sababu mshindi atajiunga na Mali katika AFCON kutoka Kundi C.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako