• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Wenger: "Kaeni mkao wa kula Narudi kazini" Wenger

    (GMT+08:00) 2018-11-20 08:40:52
    Kwa mara ya kwanza Arsene Wenger amekiri kwamba, kuishi bila kufanya kazi kumefanya maisha yake kuwa na changamoto nyingi kutokana na kuwa nje kisoka.

    Amesema anajipanga kurejea kuendelea na kazi yake ya ukocha kuanzia Januari mwakani baada ya kuwa nje tangu alipoachana na Arsenal. Wenger ameiongoza Arsenal kwa miaka 22 na kupata mafanikio makubwa ikiwemo kufanikisha ujenzi wa uwanja wa Emirates pamoja na kusuka wachezaji ambao waliifanya Arsenal kuvuna pesa ndefu kwa kuwauza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako