• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Trump ataka kudumisha uhusiano wa kiwenzi kati ya Marekani na Saudi Arabia

    (GMT+08:00) 2018-11-21 09:41:21

    Rais Donald Trump wa Marekani amerudia tena ahadi ya kudumisha uhusiano wa kiwenzi na Saudi Arabia kutokana na maslahi ya kitaifa, na bado hajaeleza wazi kuhusu msimamo wake juu ya mauaji ya mwanahabari Jamal Khashoggi. Akiiita Saudi Arabia mshirika mkubwa wa Marekani katika mapambano dhidi ya Iran, rais Trump amesisitiza uwekezaji wa Saudi Arabia nchini Marekani unaotarajiwa kufikia dola za kimarekani bilioni 450 kufuatia ziara yake ya mwaka jana, ikiwemo dola za kimarekani bilioni 110 katika kununua silaha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako