• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UM yataka nchi maskini kufuatilia makampuni yanayotengeneza ajira

    (GMT+08:00) 2018-11-21 09:43:50

    Ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa imesema serikali za nchi zilizo nyuma zaidi kimaendeleo zinatakiwa kutoa mazingira mazuri kwa kampuni zenye uhai, kutunga sera za kuzisaidia kujiendeleza, kutengeneza nafasi za ajira, na kuufanyia uchumi ubunifu na mageuzi. Ripoti inasema ufuatiliaji mkubwa unastahili kutolewa kwa maendeleo ya mchakato wa usambazaji bidhaa wa ndani, kwani kuunganisha nchi hizo na mnyororo wa thamani wa kimataifa bado hakujasaidia kukuza maendeleo ya kampuni za ndani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako