• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanafunzi na mwalimu wa Cameroon waliotekwa nyara waachiwa uhuru

    (GMT+08:00) 2018-11-22 09:33:45

    Ofisa mwandamizi wa eneo la Meme huko Kumba magharibi kusini mwa Cameroon Bw. Chamberlin Ndong, amesema wanafunzi 9 na mwalimu mmoja waliotekwa nyara Jumanne kwenye shule binafsi huko Kumba wameachiwa huru.

    Bw. Ndong amesema wanafunzi hao wameachiwa huru na mwalimu wao aliyejeruhiwa, na wamejumuika na familia zao. Pia amesema wanafunzi hao walitekwa nyara na watu wenye silaha, lakini hawajatangaza sababu ya kuwateka nyara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako