• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA LA UFUKWENI: Pawasa kuitumia Copa Dar es Salaam kujiandaa na AFCON 2018

    (GMT+08:00) 2018-11-22 10:08:39
    Mashindano ya soka la ufukweni ya Copa Dar es salaam yanaanza kutimua vumbi leo jijini Dar es salaam yakishirikisha nchi nne za Afrika Mashariki ambazo ni wenyeji Tanzania, Uganda, Malawi na Shelisheli.

    Akizungumza na wanahabari, kocha mkuu wa timu ya Tanzania Boniace Pawasa amesema watayatumia mashindano hayo kama sehemu ya maandalizi kuelekea fainali za AFCON kwa soka la ufukweni zitakazofanyika Disemba 8 hadi 14 mwaka huu nchini Misri.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako