• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya yafanya maonyesho ya utamaduni kuvutia watalii

    (GMT+08:00) 2018-11-22 18:56:46

    Zaidi ya watalii elfu 50 kutoka ndani na nje ya Kenya wanatarajiwa kuhudhuria Tamasha la Utamaduni la Lamu linalofanyika kila mwaka, ikiwa ni tukio kubwa la utalii ambalo limeanza leo kwenye kaunti hiyo.

    Tamasha hilo lililoanzishwa mwaka 2001, ni la siku nne na linasherehekea urithi na utamaduni wa Lamu. Chini ya kauli mbiu ya "Tembelea Lamu", tamasha hilo litaonyesha utamaduni wa kipekee wa Lamu kupitia ngoma, mashairi, upakaji wa hina, maonyesho ya Sanaa ya uchongaji, na mashindano ya kipekee kama vile kuendesha mitumbwi na mbio za punda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako