• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Heineken kuzalishwa Rwanda

    (GMT+08:00) 2018-11-22 19:00:59

    Kampuni ya mvinyo ya Rwanda Bralirwa inapanga kuanza kuazalisha bia aina ya Heineken kutoka Uholanzi kuanzia mwezi ujao katika hatua ya kupunguza gharama ya kuagizia kinywaji hicho kutoka nje.

    Heineken itazalishwa kwenye kiwanda cha Bralirwa kilichoko Gisenyi kaskazini mwa nchi hiyo.

    Mkurungezi wa usambazaji wa Bralirwa Sander Bokelman amesema hatua hiyo itasaidia kufungua fursa mpya za kibiashara sio tu kwa Rwanda lakini pia na kwa nchi jirani.

    Heineken pia huzalishwa katika nchi nyingine kadhaa barani Afrika zikiwemo, Namibia, Morocco, Algeria, Misri na Tunisia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako