• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashindano ya Afrika ya CANA kanda ya tatu: Wapiga mbizi wavuna medali

    (GMT+08:00) 2018-11-23 08:10:41
    Wapiga mbizi wa timu ya taifa ya Tanzania wametwaa nafasi ya tatu kwenye mashindano ya Afrika ya CANA kanda ya tatu yaliyomalizika mjini Khartoum Sudan.

    Tanzania imeshika nafasi ya tatu baada ya kupata pointi 1,125 huku ikishuhudia wenyeji Sudan ikitawazwa kuwa bingwa mpya wa taji hilo baada ya kuvuna pointi 1,548 ikifuatiwa na Afrika kusini ambayo imetwaa pointi 1,248.

    Tanzania iliyokuwa bingwa misimu miwili mfululizo tangu mwaka 2016 imeshindwa kutetea ubingwa huo baada ya kuwa na idadi ndogo ya waogeleaji wa kike.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako