• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NDONDI: Manny Pacquiao ulingoni Januari 19 na Adrian Broner

    (GMT+08:00) 2018-11-23 08:12:24
    Mabondia Manny Pacquiao na Adrian Broner wamekutana kwa mara ya kwanza kwenye mkutano na waandishi wa habari kwa ajili ya kutambulisha rasmi pambano lao la uzito wa Welter linalotarajiwa kufanyika Januri 19 mwakani ukumbi wa MGM Grand mjini Las Vegas Marekani.

    Wakitunishiana misuli kabla ya pambano lao hilo, Pacquiao mwenye umri wa miaka 39 amesema kwa jinsi alivyomtathmini mpinzani wake, anaamini atashinda mapema sana, naye Adrian amemtaka Pac kutosimamia uzoefu bali kujiandaa vyema kabla hajamchakaza katika pambano hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako