• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China kufanya ziara nchini Hispania, Argentina, Panama, Ureno na kushiriki kwenye mkutano wa G20

    (GMT+08:00) 2018-11-23 08:28:31

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Bw. Lu Kang, leo hapa Beijing ametangaza kuwa Rais Xi Jinping wa China atafanya ziara za kiserikali nchini Hispania, Argentina, Panama na Ureno kuanzia Novemba 27 hadi Desemba 5 na kushiriki kwenye mkutano wa 13 wa kilele wa kundi la G20 kuanzia Novemba 30 hadi Desemba Mosi mjini Buenos Aires, Argentina.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako