• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Polisi wa Kenya wawakamata wafarakanishaji 46

    (GMT+08:00) 2018-11-23 09:48:41

    Polisi wa Kenya wamewakamata wafarakanishaji 46 wanaotuhumiwa kuwa wanachama wa kundi la MRC (Mombasa Republican Council) mjini Mombasa. Kamanda wa polisi wa eneo la Likoni Bw. Benjamin Rotich amesema, polisi wameshambulia kundi hilo ambapo limeitisha mkusanyiko haramu katika pwani.

    Habari zinasema polisi wa Kenya imeifungulia mashtaka MRC kuhusiana na kundi la ugaidi la al-Shabaab na kupanga mashambulizi ya kigaidi katika eneo la pwani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako