• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mafundisho kuhusu mawazo ya rais Xi yazinduliwa

    (GMT+08:00) 2018-11-23 17:58:52

    Mafundisho kuhusu Mawazo ya Xi Jinping kuhusu Ujamaa wenye Umaalum wa Kichina katika Zama Mpya yamezinduliwa rasmi na yanaweza kupakuliwa bure kwenye tovuti kadhaa ikiwemo people.com.cn na xinhuanet.com.

    Mafundisho hayo, yameyoandaliwa na Idara ya Habari ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Wizara ya Elimu, na yanalenga kusaidia maofisa na umma, hususan walimu wa vyuo vikuu na wanafunzi, kujifunza na kuelewa vizuri mawazo hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako