• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • kenya: matumizi ya saruji ya shuka

    (GMT+08:00) 2018-11-23 20:31:10

    Nchi inaendelea kushuhudia matumizi ya chini ya saruji.

    Matumizi ya saruji imeshuka kwa kutoka 466,909 mwezi Agosti 2018 hadi tani 456 473 mwezi Septemba 2018, kulingana na ripoti ya uchunguzi wa uchumi wa hivi karibuni na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya Kenya (KNBS).

    Hii pia imesababisha kushuka kwa kiasi cha saruji kilichozalishwa hadi tani 460,546 kutoka tani 473,861 kati ya miezi miwili

    Ripoti pia ilionyesha kupungua kwa asilimia 3.67 kwa matumizi ya saruji katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2018/2019.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako