• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali kulipa sh bilioni 9 kujiondoa kwa gharama ya juu uzalishaji wa umeme

    (GMT+08:00) 2018-11-23 20:32:14

    Serikali itatumia sh bilioni 9 ili kulipa wamiliki wa kampun tatu za umeme za dizeli ili kujiondoa kwa uzalishaji wa gharama ya juu wa umeme.

    Inatarajia hii itasaidia kukata gharama za umeme kwa watumiaji huku Taifa ikiangalia vyanzo vingine na vya ufanisi zaidi vya nishati kama vile umeme na upepo.

    Kusimamisha mikataba ya kampuni umeme kwa jumla ikiwa saba itagharimu serikali sh bilioni 67.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako