• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 10 wamethibitishwa kufa, na wengine 40 wameokolewa kwenye ajali ya boti katikati ya Uganda

    (GMT+08:00) 2018-11-25 18:16:36

    Watu 10 wamethibitishwa kufa, na wengine 40 wameokolewa baada ya ajali ya boti kutokea jana katika Ziwa Victoria, kwenye wilaya ya Mukono katikati ya Uganda.

    Msemaji wa kituo kikuu cha polisi cha Kampala Bw. Luke Owoyesigire, jeshi la majini lilikuwa linaendelea na operesheni ya uokoaji, lakini hakutoa maelezo zaidi kuhusu ajali.

    Ajali za boti kutokea mara kwa mara nchini Uganda kutokana na kujaza abiria kupita kiasi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako