• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Arsenal yaichapa Bournemouth, Huddersfield Town yaitandika Wolverhampton Wanderers, Chelsea wakubali kipigo

    (GMT+08:00) 2018-11-26 08:57:41
    Ligi kuu ya Uingereza inayojulikana zaidi kama EPL, imeendelea jana jumapili, Arsernal imefanikiwa kuchomoza na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya AFC Bournemouth, mchezo uliopigwa uwanja wa Vitaliy.mchezo mwingine ulikuwa kati ya Huddersielf Town walipokutana na Wolverhampton Wanderers, hadi refa anapuliza kipenga cha kumaliza mechi, Huddersfield walishinda goli 2-0, Chelsea fc aka the blues wao wamekubali kipigo cha magoli 3-1 toka kwa Tottenham Hotspurs katika uwanja wa Wembley.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako