• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ngoma imelala tena, fainali yaahirishwa

    (GMT+08:00) 2018-11-26 08:58:26
    Fainali ya kihistoria ya klabu bingwa Amerika ya kusini, Copa Libertadores kati ya watani wa jadi Boca Juniors na River Plate iliyokuwa ifanyike jana imeahirishwa.

    Fainali hiyo ya mkondo wa pili imeahirishwa baada ya wachezaji wa Borca Juniors kujeruhiwa vibaya kufuatia basi lao kushambuliwa na vitu vizito na mashabiki wa River Plate.

    Shirikisho la soka la Amerika kusini, Conmebol halijaweka wazi mechi hiyo itachezwa lini lakini rais wa shirikisho hilo Alejandro Dominguez amenukuliwa akisema uamuzi wa kuifuta mechi hiyo umetokana na shirikisho hilo kubaini wachezaji wa Boca Juniors bado hawajapona vizuri

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako