• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Botswana aahidi kupambana na unyanyasaji wa kijinsia

    (GMT+08:00) 2018-11-26 09:51:10

    Rais Mokgweetsi Masisi wa Botswana ameahidi kuchukua hatua ili kukomesha unyanyasaji wa kijinsia. Rais Masisi amesema hayo katika maadhimisho ya siku 16 dhidi ya unyanyasaji kwa wanawake na watoto. Amesema unyanyasaji wa kijinsia ni moja ya ukiukaji wa haki za binadamu unaojitokeza zaidi duniani. Pia amesisitiza ukweli kwamba kukomesha unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto kunapaswa kuchukuliwa kama ni uwajibikaji wa watu na mashirika yote.

    Amesema siku hiyo si kama tu inalenga kuelimisha na kuwawezesha wananchi kutoa sauti kuhusu kupambana na unyanyasaji wa kijinsia, bali pia inalenga kuwahamasisha watu katika jamii kushiriki kwenye mapambano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako