• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Moto mkubwa wa California wadhibitiwa

    (GMT+08:00) 2018-11-26 10:01:22

    Moto mkubwa uliosababisha vifo vya watu zaidi ya 85 jimboni California, Marekani hatimaye umedhibitiwa baada ya muda wa zaidi ya wiki mbili. Kwa mujibu wa idara ya msitu na zimamoto ya California, moto huu pia umeharibu nyumba karibu elfu 14, majengo 528 ya kibiashara na mengine 4,293.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako