• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia asisitiza uhusiano wa kipekee kati ya Saudia na UAE

    (GMT+08:00) 2018-11-26 10:01:43

    Mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman bin Abdulaziz amesisitiza kuwepo kwa uhusiano wa kipekee kati ya Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu UAE. Televisheni ya Al Arabiya imesema mrithi huyu wa ufalme alimtumia ujumbe rais Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan wa UAE kabla ya kumaliza ziara yake katika nchi hiyo jirani, ikiwa ni kituo cha kwanza cha ziara yake katika nchi za kiarabu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako