• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa dola milioni 22.6 kusaidia mashirika ya kijamii kudhibiti maambukiz ya UKIMWI katika miaka 3 iliyopita

    (GMT+08:00) 2018-11-26 17:23:57

    Shirikisho la udaktari wa kukinga maradhi la China limesema mfuko wa kudhibiti UKIMWI wa mashirka ya kijamii ulitenga renminbi Yuan milioni 157 sawa na dola za kimarekani milioni 22.6 kuyasaidia mashirika ya kijamii kudhibiti ugonjwa huo katika miaka 3 iliyopita.

    Mfuko huo ulioundwa rasmi mwezi Julai mwaka 2015 unatumiwa kuunga mkono mashirika ya kijamii katika kutoa elimu, kinga na kupima virusi vya UKIMWI kwa watu wanaofanya kazi za hatari, na kuwasaidia watu walioambukizwa na wagonjwa wa UKIMWI kutokana na mpango na sera za taifa kuhusu kinga na tiba ya ugonjwa huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako