• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia: Umoja wa Ulaya ya tia saini mkopo wa dola milioni 34 kusaidia wa wajasiriamali wanawake nchini Ethiopia.

    (GMT+08:00) 2018-11-26 20:00:45
    Taasisi ya mikopo ya muda mrefu ya Umoja wa Ulaya ya isiyo na faida, Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) na Wizara ya Fedha na Ushirikiano wa Kiuchumi imetia saini mkopo wa dola milioni 34 kusaidia wa wajasiriamali wa kike nchini Ethiopia.

    mkopo wa fedha utapiga jeki Mradi wa Maendeleo ya Wajasiriamali wa Ethiopia (WEDP) ambao ulianza katika Pembe ya Afrika mwaka 2013.

    Mnamo mwaka 2014 WEDP ilitoa mkopo wa dola milioni 22 kwa wajasiriamali wanawake.

    Lengo la mradi ni kuongeza mapato na ajira ya makampuni madogo na ya kati inayomilikiwa na wajasiriamali wa kike.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako