Katibu Mkuu wa Hazina Kamau Thugge anasema katika Uchunguzi wa Uchumi na Bajeti ya robo ya kwanza ya mwaka (Julai-Septemba) ya mwaka huu unaoisha mwezi Juni 2019 kuwa matumizi ya maendeleo yalikuwa chini ya lengo la Hazina na Sh bilioni 101.2.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |