• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SGR yajiandaa kusafirisha tani milioni 8 ya mizigo mwakani

    (GMT+08:00) 2018-11-26 20:08:44

    Reli ya Kati SGR ya kubeba mizigo inatarajiwa kusafirisha tani milioni 8 za mizigo ifikapo mwaka ujao.

    Hii itakuwa asilimia 25.8 ya jumla ya bandari ya Mombasa.

    Mkurugenzi Mtendaji wa Bandari ya Mombasa ya Kenya (KPA) Daniel Manduku hivi karibuni alisema bandari ilitarajiwa kushughulikia tani milioni 31 za mizigo mwaka huu.

    Huduma za mizigo ziliweka rekodi mpya baada ya treni 30 za mizigo na treni nne za abiria kufanya kazi kwa masaa 24.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako