• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Fainali ya kwanza ya kombe la shirikisho barani Afrika: Raja Casablanca yaichakaza AS Vita

    (GMT+08:00) 2018-11-27 08:58:51
    Timu ya Raja Casablanca imetumia vyema uwanja wa nyumbani, Mohamed V mjini Casablanca baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) katika fainali ya kwanza ya kombe la shirikisho barani Afrika.

    Kwa matokeo hayo, AS Vita sasa inatakiwa kwenda kushinda 4-0 nyumbani Desemba 2 katika uwanja wa Martyrs de la Pentecote mjini Kinshasa ili kupindua matokeo na kubeba taji hilo.

    AS Vita iliifunga 4-0 Al - Masry ya Misri Oktoba 24 katika mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya michuano, lakini ikitoka kutoa sare ya 0-0 ugenini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako