• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 729 wajeruhiwa katika tetemeko la ardhi magharibi mwa Iran

    (GMT+08:00) 2018-11-27 10:18:00

    Watu wasiopungua 729 wamejeruhiwa katika tetemeko la ardhi lenye nguvu ya 6.4 katika vipimo vya Richter lililoukumba mji wa Sarpol-e Zahab, magharibi mwa Iran. Kwa mujibu wa idara ya huduma za kwanza ya Iran, watu wengi walijeruhiwa wakijaribu kukimbia nje ya nyumba zao kufuatia tetemeko hilo. Mpaka sasa hakuna vifo vilivyoripotiwa kutokana na tetemeko hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako