• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chombo cha anga za juu cha Marekani chatua katika sayari ya Mars

    (GMT+08:00) 2018-11-27 10:18:49

    Chombo cha uchunguzi wa sayari ya Mars cha InSight kilichotumwa na Idara ya Safari za Anga za Juu ya Marekani NASA, kimefika salama kwenye sayari hiyo baada ya kusafiri umbali wa kilomita milioni 480 kwa muda wa miezi sita. Katika miaka miwili ijayo, chombo hicho kitachunguza kwa undani ishara za kijiofizikia ndani ya sayari hiyo, ikiwemo tetemeko na joto.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako