• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kilimo cha Tanzania hakina faida

    (GMT+08:00) 2018-11-27 18:43:17
    Waziri wa Kilimo nchini Tanzania Japheth Hasunga, amesema kwamba kilimo cha Tanzania hakina tija yoyote kwa sababu wakulima wengi ambao wamejiajiri hawana ujuzi na elimu ya kutosha kwenye kilimo. Waziri Hasunga amesema kwamba asilimia 65 ya Watanzania wanategemea sana kilimo, huku asilimia nane wakijishughulisha na biashara ya mazao na kuongeza thamani. Hata hivyo kati ya wakulima kumi, n inane pekee wana elimu ya darasa la saba. Haya ni kwa mujibu wa takwimu za Finscop.

    Waziri wa kilimo amekiri kwamba makosa yalifanyika miaka ya nyuma kwa kuchukulia kilimo kuwa kazi ya watu ambao hawana elimu nzuri. Hii ndio sababu kuu ya kukosa kupata tija kwenye kilimo kote nchini Tanzania. Baraza la Kilimo Tanzania kutoa mapendekezo ya kuwasaidia wakulima ili kuinua kilimo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako