• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Wakulima wa kahawa wakadiria hasara

    (GMT+08:00) 2018-11-27 18:43:35
    Wakulima wa kahawa kutoka kaunti ya Kirinyaga wanahesabu hasara ya baada ya mazao yao kuharibikia shambani. Takriban nusu ya zao hili limeharibika kutokana na baridi kali iliyopo. Hii ni licha ya wao kunyunyizia dawa mimea yao. Hata hivyo wakulima wa kahawa wamehimizwa na wataalam wa kilimo cha kahawa kutumia dawa aina ya Calcium Ammonium Nitrate almaarufu (CAN) ili kuzuia hasara zaidi.

    Hali hii huenda ikaathiri mazao ya kahawa kwa taifa zima. Kila mwaka, wakulima wa kahawa hutoa takriban kilo milioni 30 ya zao hili kila mwaka, ambalo huenda lisiwepo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako