• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Gofu: Tiger Woods asaini mkataba mnono na Chaneli ya Runinga

    (GMT+08:00) 2018-11-28 08:51:39

    Bingwa wa mchezo wa gofu duniani Tiger Woods amesaini mkataba wa ushirikiano na chaleni ya runinga ya mchezo wa gofu ambayo itamtumia Woods kutoa elimu ya mchezo huo wa gofu.

    Woods amesema kipindi hicho kitawawezesha wachezaji gofu wachanga kuweza kuuelewa vizuri mchezo huo pamoja na sheria na kanuni zake.

    Vipindi hivyo vitaanza kurushwa mwakani katika chaneli ya runinga iitwayo Discovery GolfTV.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako