• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashindano yam bio za magari: Mick Schumacher asogelea kiwango cha baba yake

    (GMT+08:00) 2018-11-28 08:52:23

    Kuna msemo usemao "mtoto wa nyoka ni nyoka" ama "maji hufuata mkondo" ndivyo ilivyoanza kudhihirika kwa Mick Schumacher ambaye ameanza kusogelea hatua za mafanikio ya baba yake Michael Schumacher bingwa wa mashindano ya mbio za magari duniani zijulikanazo kama Formula 1.

    Mick sasa amekubali kushiriki mashindano yua mbio za magari za Formula 2 baada ya kushinda ubingwa wa ulaya mwaka huu wa formula 3.

    Baba wa Mick, Michael Schumacher ameweka rekodi ya ubingwa wa formula 1 kwa kushinda mara 7, huku mara 5 akitumia gari aina ya Ferrari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako